Thursday, July 19, 2012

**** Play gal - 52 (revenge)



Ilipoishia...


Nilijikuta uzalendo unanishinda Tina mie nakutokwa na udenda  uliochanganyikwa na hamu ya kutaka kufanya mapenzi na mchungaji.  Nilikuwa bado nimezubaa pale sebuleni huku pembeni yangu akiwa mfanyakazi wa ndani akiangalia televisheni. Nikajisachi mifukoni mwangu nakutoa noti shilingi elfu moja kisha nikampa Yule mfanyakazi wa ndani.
“..nenda duka la madawa lolote kaninunulie sabuni ya detto, nashindwaga kutumia sabuni nyingine, sawa..?”
Yule binti wa watu aliinuka nakuondoka kwenda dukani haraka haraka.
“..wafanyakazi kama hawa ndio dawa yao..”
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikihakikisha Yule mtoto wa James aliyetupokea yupo nje. Nikauloki ule mlango wa sebuleni nakisha nikazivua nguo zangu nakubakiwa mtupu kama nilivyozaliwa, nikazishikilia mkononi nakuongoza mpaka chumbani kwa mchungaji james huku nikijitingisha makalio yangu…

Sasa endelea…


Nilipokaribia tu mlango wa mchungaji James kwa ghafla mapigo yangu ya moyo yakabadilika mwendo na kwa muda huu yakawa yanaenda mbio zaidi kama saa yam shale. Hatua chache nikawa tayari natazamana na mlango wa chumbani kwake huku mikono yangu ikinitetemeka mithili ya mtu aliyemwagiwa maji ya barafu. Nilipiga moyo konde huku  nikishikilia kitasa tayari kwa kufungua mlango. Sikutaka kuonesha uoga wowote Tina mie kwani mambo kama haya tayari nilikuwa nimeshayazoea tangu zamani. Nilichokifanya nikaufungua ule mlango nakuingia chumbani kwake kisha nguo zangu nikazitupa kitandani mwake nakuanza kugonga sasa  mlango wa kuingia bafuni kwa mchungaji James huku nikijidai kama naugonga..
“..my wife..?, unasemaje naoga..?”
“.. nifungulie mara moja mume wangu na mimi nataka kuoga..”
Maskini mchungaji  James alijua kuwa anaongea na mkewe kumbe nilikuwa Tina mie. Alifungua mlango hivyo hivyo akiwa na mapovu ya sabuni usoni huku macho yake akiyafumba. Nikatumia mwanya huo huo na mimi kuongoza mpaka bafuni kisha..
“..haya tuendelee kuoga tu mume wangu..”
Bado mchungaji  James hakuwa anaelewa chochote kwani mapovu ya sabuni yaliokuwa yamemzunguka mwili wote sana sana eneo la usoni mwake yalimzuia kutoa macho kuangalia nakujikuta akiniruhusu kuingia bafuni huku akidhania kuwa ni mke wake.
“..acha tu nikusugue vizuri.., enhe niambie za safari mume wangu..!!”
Nilijikaza sauti nakuongea kama mtu mwenye mafua kana kwamba isingekuwa rahisi kwa mchungaji James kutambua ni sauti yangu. Nilimgeuza mgongo huku nikimuogesha na kabla sijamgeuza aniangalie nilimpaka tena sabuni usoni mwake ili niweze kumzuia asione kabisa kwa muda ule.
“..yaani mke wangu, tulipata ajali mbaya sana na kwa bahati nzuri na kumshukuru Mungu nimenusulika nipo salama, na nimekuja na binti yuko hapo sebuleni naye amenusulika kwenye hiyo hiyo ajali ambapo watu wengi wamepoteza maisha..”
“..mmh pole sana mume wangu, ndio maana nimeona nguo zako zikiwa na damu damu, polee..!!!”
“..ahsante sana mke wangu..”
Bado nilimfanya mchungaji James asiweze kujua chochote kama anayeongea naye ni mimi mwenyewe Tina. Nilichukuwa mikono yangu na kumtelezesha kuanzia mabegani mwake, shingoni mpaka kiunoni huku nikichukuwa sabuni nakupaka eneo la nanii yake kisha nikaanza kuishika shika kwa kuitekenya..
“..inatosha mke wangu haya nimwagie maji nitoe sabuni hii..”
“..tulia kwanza jamani..”
“..hapana sabuni inaniwasha machoni, embu nimwagie maji mke wangu..”
Nilimshika vya kutosha mpaka nikahakikisha amesimamisha nanii yake ndipo nikamwagia maji tena kwa taaratibu kuanzia mgongoni kisha tumboni na nikammalizia kumwagia usoni na kichwani. Alipofungua macho tu akakutana na sura nyingine kabisa na wala hakuwa mke wake kama alivyoukuwa akifikiria bali nilikuwa ni Tina mimi nilioshindikana.
“..we.. wee.. wee ss.. ssiii.. niiili.. ku.. aa..a..  cha.. sebuuuu…  leni..? Hapa umefuata nini..?”
“…James..? nimeshindwa kuoga peke yangu..!”
“..ndio uje chumbani kwangu..? Mke wangu yupo wapi..? Mbona unataka kunivunjia heshima binti..? Hiyo ndio shukrani yako ya kukuleta hapa enh..!!”
Mchungaji James alinibadilikia nakuwa mkali kama kifaru tena faru dume mwenye hasira ya kuchezewa  watoto wake na mnyama mwingine.
“..nakupa dakika mbili uwe umeshavaa nguo zako nakupotea hapa chumbani kwangu ibilisi mkubwa wee uliyetumwa na shetani.., ushindwe..!!  nasema ushindwe kwa jina la...”
Kabla hajamalizia kuongea nikamziba mdomo wake. Kwa ushujaa niliokuwa nao nikamshika nanii yake nakuanza kumtolea maneno ya hasira.
“..James elewa mimi ni mwanamke kama wanawake wengine, nina hisia na nina haki yakutekelezewa kama mwanamke. Najua kuwa wewe ni mchungaji nakuomba unisaidie japo unilale hata kwa bao moja tu nitalizika..”
“niiiiiiiniiii??? ..binti..??, umefika mbali.., mbali tena mbali haswa. Una pepo mkubwa wa  ngono na unahitaji kuombewa zaidi. Nakuomba tena kwa mara ya pili uende ukavae nguo zako na uelekee sebuleni hapo nitakuja kufanya maombi  mazito na wewe. Kwanza hata mke wangu akikukuta umekaa sebuleni  atafurahi, embu nakuomaba uende binti pliiz..!!”
Maneno yake hayakuniingia akilini hata kidogo. Niliona kama anampigia mbuzi  gitaa acheze na tena mziki wenyewe ni ule wa mchiriku. Nikaanza kumfanyia visa. Nilichokifanya nilipumua juu juu nakujifanya nina mapepo kweli kisha nikajiangusha mpaka chini vile vile nikiwa uchi wa mnyama nauanza kutapatapa mithili ya wale wacheza shoo wa kikundi cha THT huku nikitoa mate yenye mapovu mithili ya mgonjwa  wa kifafa. Nilitumia kama dakika tatu nzima lakini ni kama mchungaji James alikuwa na bumbuwazi kwani nilijua tu kwa asilimia mia hawezi kuniombea huku akiwa uchi. Alichokifanya alikuwa mpole kisha akainama nakunishika shingo.
“..binti, amka na pole kwa matatizo..”
Maneno yale yalinifanya nione sasa atakuwa ameelewa dhamira yangu yakujiangusha nakujigaragaza pale chini kama motto mchanga. Nilinyamaza kimya nakuinuka kisha nikamkaripia.
“..nataka jibu moja tu..!  unakubali kufanya mapenzi na mimi au la..!”
Mchungaji James bado alibaki na kigugumizi kama dakika mioja nzima kisha akanijibu.
“..hapana tayari nina mke wangu na licha ya hivyo, maandiko hayaruhusu. Kwani kufanya hivyo nikukiuka maandiko ya neno na kumkosea  mungu..”
“..sasa nakupa dakika moja tu..!!  na usipokubali napiga makelele kwa nguvu zote  kuwa unanibaka mpaka nihakikishe umati wa watu umefurika hapa bafuni, sawa..???..”
“..no.. nooono.. nooo… usifanye hivyo binti..!!”
“..haya unakubali ama..? nianze kuhesabu..?”
Kimoyo moyo nilijipa shangwe kwani niliamini sasa nitakuwa nimemuweza mchungaji James na hatakuwa na ujanja kama nitapiga kweli yowe. Mwili wake wote ulionesha kutetemeka kwa uoga, huku nikishuhudia nanii yake ikilala. Nikatumia mwanya huo huo kumtetemesha zaidi..
“..nakuona hujibu uko kimya.., sasa naanza kuhesabu 1.., 2.., 3..?”
Mchungaji James alinyong’onyea ghafla huku akionesha sura ya upole na huzuni. Sikutaka kumuonea huruma hata kidogo kwani kifua chake kilichojaa manywele ndicho kilichonivutia nakuingia humu chumbani mwake. Nilichokifanya nikamsogelea karibu kisha nikamkumbatia halafu nikajilaza chini nakumuamuru aanze kufanya mapenzi na mimi..
“..haya ingiza humu ndani kwangu James..??,  ingiza basi..? hutaki..?”








*** unavyodhani mchungaji James atafanya mapenzi na Tina..?


*** Play gal ndio kwanza inazidi kunoga na jiandaye kusoma PLAY GAL - 53 (Revenge) ni nzuri zaidi ya hapa..



************** itaendelea******************

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home