Thursday, August 2, 2012

BINTI ANATAKA KUOLEWA...

Binti kaenda kumuona mtaalamu
wa mahusiano.
Maongezi haya hapa mwanawane:

Binti: Naomba unisaidie kupata mchumba.
Mtaalam: Unataka mwanaume wa aina gani?
Binti: Nataka awe mchangamfu, awe anaweza kunihadithia stori tamtamu siku nzima, awe na uwezo wa kuniliwaza na kunibembeleza, asitoke ndani na asiwe mbishi.
Mtaalam: Sawa, olewa na redio. ndio ina mambo yote hayo

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home