AJALI YA MELI: BADO NI VILIO NA MAJONZI KWA WANANDUGU WANAOENDELEA KUJITOKEZA KUTAMBUA MIILI YA MAREHEMU..
Baadhi ya Maiti zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit iliozama
zikiwa katika Eneo la Maisara kwa ajili ya kutambuliwa na Nduguzao.
Maiti zikihifadhiwa katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar tayari kwa utambuzi wa ndugu na jamaaa.
Wananchi mbalimbali wakizitambua Maiti zao zilizopatikana katika
Ajali ya Meli ya skagit iliozama hapo jana katika Eneo la karibu na
Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Jamaa wa mmoja wa marehemu wa ajali ya Boti akiwa na simazi ya
kuondokewa na jamaa yake katika tukio la ajali hiyo, baada ya kuitambua
maiti ya jamaa yake iliopelekwa katika viwanja vya maisara.
Baadhi ya Wananchi waliozitambua maiti zao katika Viwanja vya
Maisara wakisaidiwa na Askari kutokana na Huzuni kubwa waliokuwanazo.kwa
kuzama kwa Meli ya skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa
cha Chumbe Zanzibar.
Baadhi ya wananchi wakiwa katika Foleni ili kwenda kuzitambua Maiti zao
katika Viwanja vya Maisara kutokana na kuzama kwa Meli ya skagit hapo
jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Baadhi ya Wanandugu wakiwa katika foleni kusubiri kutambua miili ya
Ndugu zao waliopata ajali ya kuzama kwa boti ya Kampuni ya SeaGull.jana
katika bahari ya Zanzibar.
Baadhi ya wananchi wakiwa katika Foleni ili kwenda kuzitambua Maiti zao
katika Viwanja vya Maisara kutokana na kuzama kwa Meli ya skagit hapo
jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Wananchi wakiwa katika viwanja vya mpira Mairasa kusubiri kutambua miili ya jamaa zao.
Baadhi ya Wageni kutoka Nchi mbalimbali wakiwa katika Viwanja vya
Maisara ili kujuwa Ndugu zao na kuangalia taratibu zinazofanyika
viwanjani hapo kutokana na Kuzama kwa meli ya skagit hapo jana katika
Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Baadhi ya Maiti zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit
ilizama zikiteremshwa katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar ili
kutambuliwa na Jamaa zao.
Labels: news updates
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home