Thursday, July 19, 2012

MWALIMU NOMAA..

Mwalimu ;" wewe john unacheka nini?"

John ; "mwalimu Umekaa vibaya nimeona mapaja yako "

Mwalimu ; "huna adabu wewe toka nje nisikuone mpaka kesho"

Mwalimu ; "na wewe Michael unacheka nini??"

Michael; "mwalimu nimeona kamba ya bikini yako"

Mwalimu ;"shenzi wewe toka nisikuone mpaka next week"

Mwalimu ; "na wewe Jose vipi??"

Jose ; "mwalimu nimeona tattoo yako"

Mwalimu ;"hii mitoto, toka nisikuone mpaka mwezi ujao"

Mwalimu ; "na wewe Eric unaenda wapi sasa???"

Eric; "nilichokiona mwalimu nadhani nimefukuzwa shule kabisa."

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home