Thursday, August 2, 2012

JAMAA NA MPENZI WAKE

Kuna jamaa mmoja alitaka kumjaribu mpenzi wake anayeishi mkoa mwngne akamuandikia barua na kumuambia
"Nimempata mpenzi mwingine wewe sikutaki tena kwa hiyo naomba unirudishie picha yangu niliyokupa. Bac yule dada alilia sana kwa uchungu,ili naye kumkomoa mpenzi wake huyo alitafuta picha za wanaume mia moja hivi na kumtumia jamaa na kumueleza:
"Samahani nimekusahau, hebu tafuta picha yako katika hizo kisha unirudishie maana zingine ni za mabwana zangu
.Jamaa kwa uchungu akaamua kujinyonga,plz guyz take care na wapenz wenu

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home