Vunja mbavu zako kwa picha..
![]() |
Bibi mjanja akiingia ndani ya blog yetu ya bvongomixx |
![]() |
Mkisi mchumu mwaaaaaaaa!!!!!!1 |
![]() |
sio lazima uende beach hata hapa unabadilisha hali ya hewa tu.. |
![]() |
je? unahitaji fundi wa kujenga?? |
![]() |
ohh, watoto tu ndio wanaoga kwenye mabeseni, nani kasema?? nenda kenya uone |
![]() |
jamani urembo kaziiiiiiiii...!! |
![]() |
hata hapa ni toilet tu..!!! |
![]() |
wanasoka mmemuona balloteli akizeeka?? |
![]() |
hii kitu serious imetokea |
![]() |
kama ungekuwa wewe ungefanyaje hapa..?? |
![]() |
dah hizi network za kibongo miyeyusho kweli yaan |
![]() |
je, unajua mapozi ya wachina katika kupiga picha??? |
![]() |
kama kawa kama dawa tunawakilisha peoplesssssssssssssssssssssssssssssss!!!! |
![]() |
eeeh, kumbe kwa mbele ndio anamanywele hiviii..!!! |
![]() |
mbwa ana akili huyuuu..!!! |
![]() |
weee endelea kuchat ipo siku utaumbuka wewe???? |
![]() |
ooh, eti rooney hajawahi kuuza pipi na biskuti, nani kasema?? |
![]() |
hii ndio bongo halisi |
![]() |
kama kweli una gari jaribu kupita kushoto uone |
![]() |
kweli hii picha itatoka full hapa..??? |
![]() |
kitu cha DSTV yaani hapa ni full big brother, super sport na ma movie ya kumwaga |
Labels: Cheka kwa Picha
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home