MB DOG AJA NA 'ONLY YOU'
Ni miaka kama minne imepita tangu mwanamuziki na mkali wa miondoko ya bongo flava nchini Mb Dog kuachia ngoma zake. Sasa Mb Dog ameachia ngoma kali na mpya inayokwenda kwa jina la 'Only you'. Kwa mujibu wa Mb Dog amefunguka nakusema kuwa ngoma hii ni zawadi kwa mashabiki wake ambao walikuwa wakimsubiri kwa muda mrefu bila kutoa nyimbo yeyote."sasa nimekuja kuwashika tena, najua mtafurahi na track yangu hii.."
alionge Mb Dog alipokuwa akifanyiwa interview na moja ya radio hapa bongo.
alionge Mb Dog alipokuwa akifanyiwa interview na moja ya radio hapa bongo.
Labels: music
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home