*** Play gal - 53 (Revenge)
Ilipoishia…
Kimoyo
moyo nilijipa shangwe kwani niliamini sasa nitakuwa nimemuweza mchungaji James
na hatakuwa na ujanja kama nitapiga kweli yowe. Mwili wake wote ulionesha
kutetemeka kwa uoga, huku nikishuhudia nanii yake ikilala. Nikatumia mwanya huo
huo kumtetemesha zaidi..
“..nakuona
hujibu uko kimya.., sasa naanza kuhesabu 1.., 2.., 3..?”
Mchungaji
James alinyong’onyea ghafla huku akionesha sura ya upole na huzuni. Sikutaka
kumuonea huruma hata kidogo kwani kifua chake kilichojaa manywele ndicho
kilichonivutia nakuingia humu chumbani mwake. Nilichokifanya nikamsogelea
karibu kisha nikamkumbatia halafu nikajilaza chini nakumuamuru aanze kufanya
mapenzi na mimi..
“..haya
ingiza humu ndani kwangu James..??,
ingiza basi..? hutaki..?”
Sasa endelea…
Jasho jembamba lililoambatana na machozi huku sura ya huzuni
ikimtawala mchungaji James kwa kumuamuru kufanya kile kitendo. Bado
alikuwa kama mtu mwenye kigugumizi yaani
sitaki nataka, kwani alionesha kusita sita muda wote. Tukiwa bado tumezubaa
pale chumbani tena kila mmoja akiwa uchi wa mnyama. Mara tukaanza kusikia hodi
ikigongwa sebuleni.
“..Atakuwa mke wangu huyo amekuja. Pliiz..!!! nakuomba
tusitishe zoezi hili na nakuahidi tut…”
“..Shiiii. tena ishia hapo hapo...? huyo wala si mkeo lazima
atakuwa mfanyakazi wako wa ndani. Kwani nililmtuma sabuni. Nakuhusu kufanya
siku nyingine. Utafanya wewe na mkeo. Sawa..?”
“..lakini binti..?”
“..lakini nini..? haya tuanze mara moja mwenzio nasikia
nyege huko…!!”
Niliona kama mchungaji James anataka kunicheleweshea muda
ili mke wake arudi na tusiweze kuendelea kufanya chochote. Nikaanza upya zoezi
la kumshikashika na sasa nilishamlaza chini kabisa na sio kitandani kama
tulivyokuwa awali. nikaanza kukitawala kifua chake kana kwamba mume wangu wa
ndoa. Nilizilamba chuchu zake sambamba nakukitafuta kitovu chake kilichokuwa
kimezungukwa na tumbo. Mchungaji James alikuwa hana ujanja tena kwenye huu
mchezo kwani nilikuwa nimeshamlegeza vya kutosha na kwa sasa alikuwa amehamia
juu kwangu huku akiniingizia tena kama mtu ambaye hajafanya muda mrefu. Ndani
ya dakika nne tulikuwa hoi kila mmoja na tayari tumeshamaliza cha kwanza.
“..aha..!! haa..!! haa…!!, unavaa nini..?”
“..Christina inatosha bwana..?”
“..eti inatoshaa..? Ndio tulivyoafikiana..? hapa mpaka
nisuuzike na roho yangu. Na kwa jinsi nilivyokuwa na hamu ya muda mrefu mwenzako.
Hivi ujue tangu nizaliwe sijawahi kufanya mapenzi na mchungaji..? Kumbe nyinyi
ni watamu kiasi hiki..?”
Maneno yale yalizidi kuuchochea ubongo wa mchungaji James si
kwa furaha bali ni kwa hasira kali nakujikuta akiunyanyua mkono wake wa kulia
nakuanza kunishambulia kwa makofi. Alibadilika ghafla nakua mkali mithili ya simba
tena simba dume. Macho yake yalikuwa mekundu sana huku mdomo wake ukitetemeka
mithili ya mtu anayenyeshewa na mvua .
“..Mpumbavu mkubwa sana. Nimekuvumilia muda wote huo hadi
nimekutekelezea ulichokitaka lakini bado huriziki kwanini binti wewe..? Haya
kwa sasa nasimama kama mchungaji na vile vile mwanaume lijari. Haya sasa piga
kelele zako ulizokuwa unataka kupiga..? Pigaaa..??, pigaa sasa nikuoneshe..??”
Ile hali aliyobadilika nayo mchungaji James ilinifanya Tina
mie nianze kunyong’onyea nakuona hapa sasa kitakachofuata nikutoka na makovu
ama maumivu mwili mzima. Maskini mchungaji James kumbe baada ya kuongea tu yale
maneno ya ukali nikamshuhudia akianza kama kutetemeka mwili mzima huku yale
macho yake akiendelea kuyakaza nakudondoka mpaka chini. Nilimuwahi pale pale
chini nakumshika kifuani kwake ambapo mapigo ya moyo wake yalikuwa yamebadilika
ghafla nakwenda mbio kama gari lililokatika breki. Hapo hapo halmashauri yangu
ya kichwa ikanituma huenda ana ugonjwa wa moyo au kapata na mshtuko kutokana na
kitendo hiki tulichokifanya ukizingatia na nyadhifa aliyokuwa nayo.
Nilimtingisha mwili wote mara mbili mbili kuhakikisha lakini bado haikusaidia
chochote zaidi ya yeye kufumba macho kabisa kama mtu aliyekata roho.
Nilichukuwa kichwa changu huku sikio langu nikiambatanisha sambamba kifuani
mwake japo kusikia tena mapigo yake ya moyo lakini haikusaidia kitu zaidi yakutosikia
chochote. Woga ukanirudia Tina mimi na sikutaka hata kupoteza muda
nilichokifanya nilitoka spidi mpaka chumba cha pembeni nadhani kilikuwa cha yule
mfanyakazi wa ndani ama watoto zake mchungaji James. Nilichokifanya kwa haraka
haraka nilichagua suruali ya kike nzuri na yakubana mapaja yangu kisha
nikatafuta blauzi nzuri nakuzivaa. Kiukweli nilibadilika nakuwa sasa Tina
mwingine kabisa kisha nikarudi chumbani kwa mchungaji James. Hali niliyokuwa
nimemuacha nayo ndio niliendelea kumkuta nayo na kwa muda huu ni damu za puani
ndizo zilikuwa zikimchuruzika nakuwa nyeusi badala ya nyekundu.
“..ulale pahala pema peponi mchungaji James..”
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimfumba macho yake kwa
kutumia mikono yangu nakuanza kutafuta suruali zake nakutafuta hela za kuweza
kujinasua kuondoka katika hili eneo pia huu mkasa. Ndani ya dakika ishirini
tayari nilikuwa nimemaliza kusachi karibu chumba chote cha mchungaji James na
tayari mifukoni nilikuwa niumezishindilia noti noti za shilingi elfu kumi zenye
thamani kama ya shilingi laki mbili kisha nikachukuwa shuka nakumfunikia.
Safari yangu yakutokea mlango wa jikoni ilianza huku nikiamini kwa asilimia mia
endapo nitatokea mlango wa sebuleni ni lazima nitakutana uso kwa uso na mke wa
mchungaji James ama yule mfanyakazi wake niliokuwa nimemtuma sabuni ya Dettol. Na
hizi nguo zao nilizovaa ndio kabisa watanipigia mayowe.
Sikutaka hata kujua ni saa ngapi, kwani kijua tu kile cha
asubuhi wazi kilinitambulisha haitakuwa imefika saa sita ama saba za mchana. Kwa
muda huu tayari nilikuwa nimeshatoka katika himaya ya kwa mchungaji James
nakutokomea nisipopajua. Wazo la kufika nyumbani ‘Nyamagana’ likawa limeishia
hapo hapo kwani ndani ya kichwa changu niliamini endapo mchungaji James akiwa
hajafa basi itakuwa rahisi kwa mimi kupatikana kwani nilishawahi kumwambia kuwa
naishi nyamagana.
“..hapa nikurudi Dar es salaam tu..!! kwani hapa Mwanza japo
ni jiji lakini nimeshaliharibu nani rahisi kushikwa kuliko Dar es salaam..”
Nilijisemea peke yangu kwa sauti ya chini chini huku
nikikatiza mitaa ambayo kwa namna moja ama nyingine wala sikuwa naijua ni mitaa
gani. Baadhi ya vijana walikuwa wakinitolea macho kana kwamba wamenifananisha
lakini hilo waka sikulitilia mashaka kwani nilishajua nilichokifanya cha kuvaa
nguo ambazo si za kwangu. Mwendo wa dakika tano nzima ulikuwa tayari umeshanipa
jibu nakutambua bararabara kuu ipitayo magari.
“..hapa mpaka kituo cha mabasi nyegezi shilingi ngapi..?”
“.. elfu kumi tu..”
“..twende lakini nakulipa elfu nane..”
“..unaua dada.., elewa mafuta yamepanda bei..”
Nikiwa bado katika hali ya kuongea na dereva teksi na hata
sikuwa nimepanda ile gari wala kupatana naye bei rasmi. Mara kwa ghafla
akatokea mwanamama mnene mrefu kidogo. Alikuwa mweusi huku sura yake
ikikunjamana vilivyo mithili ya mtu anapopigwa jua la utosi. Macho yake
yalionesha kuwa tata kwani mbali na machozi yaliokuwa yakimtoka pia yalikuwa ni
mekundu kama mtu aliyefiwa ama kumpoteza mume au mtoto wa kumzaa.
“..unakwenda wapi Malaya mkubwa wewe..?”
Aliuliza kwa sauti ya jazba. Sikuwa namtambua zaidi
yakumtolea macho mimi pamoja na dereva teksi. Mwili wangu ulikuwa tayari
umeshakata tamaa ya kuishi huku nikihisi kama kojo likiteleza ndani ya suruali
yangu iliyokuwa imenibana…
*** unavyodhani huyo mama ni nani..? na nini hatma ya
Tina..?
**** inamaana mchungaji James atakuwa kafariki..? itakuwaje
sasa..?
Usithubutu kuikosa Play gal – 54 (Revenge) kwani utamu ndio
kwanza unazidi kunoga..
******itaendelea>>>>
Labels: andy ryn stories
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home