Thursday, August 2, 2012

KWELI WAKULIMA WASHAMBA..


Mchezo wa Karata na slang zake siyo ujue...!
Sasa sikia hii:
Jamaa fulani walikuwa wakicheza karata porini,mara wakapita wakulima,wakasikia sauti ikisema,
"Weka jembe chini"
...Wakulima si wakaweka majembe yao chini! Mara tena,
"Weka kisu"
...Masikini wakulima hawa wakaweka tena visu vyao chini...! "Naomba kopa"
,wakaangaliana,hawana kopa...!
..."Weka mavi chini",
ikabidi mmoja wao anye palepale! Mara wakasikia tena,
"Kama huna mavi lamba",
ikabidi yule ambaye hajanya alanmbe ya mwenzake! 

>>Mara wakasikia ,"GAME OVER",wakashtuka khaaahh,kumbe kulikuwa na watu wanacheza karata!!!

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home