Sunday, July 8, 2012

Jamaa nomaa

Mfalme mmoja aliwaita watu kijijini akasema shujaa atakayeogelea kwenye hili bwawa la mamba nampa binti yangu mara akasikia PWAAA!jamaa kajitosa kaogelea mpaka upande wa pili mfalme akasema nitakupa binti yangu na mali jamaa akasema"SITAKI BINTI YAKO WALA MALI NAMTAKA MTU ALIYENISUKUMA KWENYE BWAWA ATANITAMBUA LEO!"

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home