|
Ney wa mitego akiwa katika pozi |
|
|
|
|
Msanii wa maarufu wa bongo movie nchini 'Divanesh aidan' kama anavyojulikana kwa jina la Nesh ambaye hivi sasa anatamba kwenye filamu mpya ya 'Glory of Ramadhan' aliyoshilikishwa na Ray. ameibuka juu nakumchana live' Mwanamuziki wa bongo flava nchini Ney wa mitego. Kitendo cha ney kuikashifu sanaa ya bongo movie nchini imechukizwa na wengi wana bongo movie akiwemo Nesh ambaye uvumilivu ulimshinda nakujikuta akimchana live' kupitia mtandao wa kijamii wa 'facebook alinukuliwa akisema.
"
Ney wa mitego naamin kabisa unatafuta jina lipande kupitia "Bongo Movie" tunaomba uwataje wahusika" Baada ya habari hizi kusikika Bongomixx iliamua kunyanyua waya nakumtafuta Ney mwenyewe aeleze lakini jitihada zilishindikana baada ya simu yake kuita muda mrefu bila kupokelewa.
|
Nesh 'kushoto akiwa na Ray |
Labels: Bongo Fleva, bongo movie, gossip
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home