Thursday, August 2, 2012

KWELI MLEVI MLEVI TU..


Jamaa kaingia bar

Jamaa :Mhudum nipe kinywaji na mpe kila m2 humu ndan kinywaji maana wakati napata kinywaji lazima kila m2 apate kinywaji
haraka sana mhudum akagawa vinywaji
Jamaa: Mhudum nipe supu na kila m2 mpe supu maana ninapo kunywa supu kila m2 lazima anywe supu
Wa2 wakapewa supu tena safari hii wakapiga makofi

Jamaa: Mhudumu nipe bili na kila m2 mpe bili yake maana wakati nalipa bili yangu kila m2 lazima alipe yake
zogo lilianza hapo!! AAAAAAAAHHHHH

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home