UNAJUA JINSI YA KUTENGENEZA BURGER
FAMILIA WAFURAHI
Kwaujumla napenda sana burger ya kutengeneza nyumbani, na ninapenda kutengeneza mwenyewe au mke wangu lengo ni kuhakikisha viungo na mchanganyikowote unakua sawa. Kwakutmia recipe hii unaweza kutengeneza 8 -10 hamburgers Inategemea utaweka upana gani wa nyama yako.Baada ya kuandaa unaweza kuhifadhi mchanganyiko huo wa nyama kwenye freezer kwa matumizi ya baadae.

MAHITAJI
1 kg nyama ya kusaga safi
240 gram kitunguu kilichokatwa katwa vipande vidogo
60 gram bread crumbs ( Unga wa mikate)
1 kijiko cha chakula Worcestershire sauce
2 cloves of garlic, peeled and minced
50 gram kitunguu swaumu
5 gram chumvi
5 gram pili pili manga
1 lettuce
1 kitunguu
2 nyanya fresh
Katika bakuli kubwa changanya nyama pamoja na kitunguu, bread crumbs, Worcestershire sauce na kitunguu swaumu kisha weka . Kisha changanya safi na gawa katika mafungu 8 au 10 kulingana na ukubwa unaopenda wewe.
JINSI YA KUPIKA
Unaweza ukakaanga kwenye kikaango au ukapika kwa moto wa 160 degrees katika oven. Chukua mkate wa burger kisha kata katika pande mbili kisha paka mayonnaise na tonato ketchup kwenye mkate upande wa chini, ongezea lettuce, slice kitunguu na nyanya fresh na slice ya tango la kopo. Nyunyizia chumvi kidogo mpatie mlaji ikiwa yamoto

Labels: ~ Mapishi ~
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home