AGNESS MASOGANGE: SINTAH NDO MTU ALIYESAMBAZA MKANDA WANGU WA XX
Mrembo
'Classic' Agness Gerald 'Aggy Masogange' anayeng'arisha nyota yake
kupitia viedo za wasanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, amemtupia zigo
la lawama mwigizaji Christina Manongi 'Sintah' kufuatia kuvuja kwa
mkanda wa video unaomuonyesha akiwa mtupu.
katika
mahojiano aliyoyafanya na kituo kimoja cha redio Bongo, Aggy,
amefunguka kuwa akiwa safarini nje ya Bongo alipewa taaraifa za kupotea
kwa Digital Camera ambayo anadai ndiyo ilitumika kurekodia video hiyo
na baada ya uchunguzi kufanywa na watu wake wa karibu iligundulika kuwa
mwigizaji huyo ndiye anahusika na kupotea kwa kamera hiyo huku pia
akidai ndiye aliyefanya kazi ya kusambaza video hiyo kwenye vyombo vya
habari na mitandao kadhaa.
"Nilipewa
taaraifa ya kupotea kwa kamera hiyo, nina hakika atakuwa sintah ndiye
aliyefanya kazi ya kuisambaza, awali nilitaka kuchukua hatua juu ya
jambo hilo lakini nikashauriwa na watu wangu kuwa nisifanye hivyo, kwa
kweli najisikia vibaya lakini namwachia Mungu". alisema.
Picha za utupu zinazodaiwa kupigwa na Agness Msogange na kusambazwa na Sintah. |
Labels: gossip
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home