MAJAMBAZI WAVAMIA MGODINI NAKUUA..
Kundi kubwa la majambazi limevamia mgodi wa Buhemba, Musoma na
kukata kata watu mapanga nakisha kuchukua mali pia na kuwachapa wengine
risasi usiku wakuamkia ijumaa tarehe sita. kama unavyoona Mungu wape nguvu na afya nzuri.
Labels: news updates
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home