NAIBU WAZIRI ABUDULLAH JUMA APATA AJALI MBAYA
Naibu
Waziri wa Afrika Mashariki, Mhe. Abdullah J Abdallah, amenusuirika
katika ajali ya gari leo jioni katika maeneo ya Tumbi – Kibaha wakati
akitokea Bungeni Dodoma akielekea Dar.
Ndani
ya gari alikuwa pamoja na mkewe na watoto wake ambao wote wamepata
majeraha madogo, dereva wake ameumia zaidi na hivyo kulazimika
kukimbizwa katika hospitali ya Tumbi.
Labels: ~ Siasa ~, news updates
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home