ADELE APEWA UJAUZITO..
Mwanamziki wa kimataifa kutoka uingereza ambaye mwaka huu alivunja
rekodi kwa kujikombea tuzo za grammy's sita na anatamba vilivyo na album
yake ya kwanza na pekee inayokwenda kwa jina la 21,Adele..anategemea
kujifungua ndani ya mwaka huu..
Adele akiwa katika pozi. |
Labels: gossip, news updates
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home