Monday, July 9, 2012

THE GLORY OF RAMADHAN KWENYE MAANDALIZI..

Ile filamu kali ya kibongo inayosubiriwa kwa hamu kubwa katika kipindi hiki kijacho cha mwezi mtukufu wa ramadhani 'GROLY OF RAMADHANI'  iliyowakutanisha mtangazaji maarufu wa East african radio 'Abdallah Hamis Ambua' ama Dullah wa planet bongo na  Vincent Kigosi ama Ray sasa ipo katika maandalizi ya mwisho kabisa. Filamu hiyo ambayo imelenga kabisa maadili ya kiislamu haswa katika mfungo wa ramadhani.
Dullah na Ray katika pozi kabla hawajaingia kuigiza hiyo movie.
Wala usishangae ukajua Ray kabadili dini? wala! hapa nikatika hiyo movie mpya ambapo iliwachukuwa mpaka ndani ya msikiti.
Chuchu Hans akiwa katika pozi na Dullah ndani ya hiyo movie..
Ray akifuatilia kwa karibu maandalizi ya movie..
Dullah akijiandaa kuigiza katika hiyo movie.
Ray akiwa na Chuchu Hans ndani ya hiyo movie..
Ray akiwa na Nesh wakiigiza.

Labels: ,

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home