Tuesday, July 10, 2012

BIBI WA MIAKA 92 ABEBA UJAUZITO..

Bibi wa miaka 92 alibeba ujauzito kwa zaidi ya Miaka 60 na bibi huyo aliyejulikana kwa jina la Huang Yijun alifanikiwa kujifungua mtoto wa kike bada ya kubeba mimba kwa zaidi ya nusu ya century.
Bibi Huang Yijuu akiwa katika pozi na mimba yake
 

Labels: , ,

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home