Diva Loveness Asema “Atakae Taka Kunioa Mahari Si chini Ya Mil 500
Mwana dadiva anaeendisha kipindi cha ala za roho ndani ya the people’s
station Diva loveness love jana amefunguka alipokuwa akifanya kipindi
cha xxl na mtu mzima Adam Mchomvu kuwa kwa yeyote atakae jitokeza kumuoa
basi lazima awe na si chini ya shilingi millioni 500.
Diva Loveness love akiwa studio.. |
Labels: gossip, music, news updates
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home