Saturday, July 21, 2012

*** Play gal - 53 (Revenge)


 
Ilipoishia…

Kimoyo moyo nilijipa shangwe kwani niliamini sasa nitakuwa nimemuweza mchungaji James na hatakuwa na ujanja kama nitapiga kweli yowe. Mwili wake wote ulionesha kutetemeka kwa uoga, huku nikishuhudia nanii yake ikilala. Nikatumia mwanya huo huo kumtetemesha zaidi..
“..nakuona hujibu uko kimya.., sasa naanza kuhesabu 1.., 2.., 3..?”
Mchungaji James alinyong’onyea ghafla huku akionesha sura ya upole na huzuni. Sikutaka kumuonea huruma hata kidogo kwani kifua chake kilichojaa manywele ndicho kilichonivutia nakuingia humu chumbani mwake. Nilichokifanya nikamsogelea karibu kisha nikamkumbatia halafu nikajilaza chini nakumuamuru aanze kufanya mapenzi na mimi..
“..haya ingiza humu ndani kwangu James..??,  ingiza basi..? hutaki..?”

Sasa endelea…

Jasho jembamba lililoambatana na machozi huku sura ya huzuni ikimtawala mchungaji James kwa kumuamuru kufanya kile kitendo. Bado alikuwa  kama mtu mwenye kigugumizi yaani sitaki nataka, kwani alionesha kusita sita muda wote. Tukiwa bado tumezubaa pale chumbani tena kila mmoja akiwa uchi wa mnyama. Mara tukaanza kusikia hodi ikigongwa sebuleni.
“..Atakuwa mke wangu huyo amekuja. Pliiz..!!! nakuomba tusitishe zoezi hili na nakuahidi tut…”
“..Shiiii. tena ishia hapo hapo...? huyo wala si mkeo lazima atakuwa mfanyakazi wako wa ndani. Kwani nililmtuma sabuni. Nakuhusu kufanya siku nyingine. Utafanya wewe na mkeo. Sawa..?”
“..lakini binti..?”
“..lakini nini..? haya tuanze mara moja mwenzio nasikia nyege huko…!!”
Niliona kama mchungaji James anataka kunicheleweshea muda ili mke wake arudi na tusiweze kuendelea kufanya chochote. Nikaanza upya zoezi la kumshikashika na sasa nilishamlaza chini kabisa na sio kitandani kama tulivyokuwa awali. nikaanza kukitawala kifua chake kana kwamba mume wangu wa ndoa. Nilizilamba chuchu zake sambamba nakukitafuta kitovu chake kilichokuwa kimezungukwa na tumbo. Mchungaji James alikuwa hana ujanja tena kwenye huu mchezo kwani nilikuwa nimeshamlegeza vya kutosha na kwa sasa alikuwa amehamia juu kwangu huku akiniingizia tena kama mtu ambaye hajafanya muda mrefu. Ndani ya dakika nne tulikuwa hoi kila mmoja na tayari tumeshamaliza cha kwanza.
“..aha..!! haa..!! haa…!!, unavaa nini..?”
“..Christina inatosha bwana..?”
“..eti inatoshaa..? Ndio tulivyoafikiana..? hapa mpaka nisuuzike na roho yangu. Na kwa jinsi nilivyokuwa na hamu ya muda mrefu mwenzako. Hivi ujue tangu nizaliwe sijawahi kufanya mapenzi na mchungaji..? Kumbe nyinyi ni watamu kiasi hiki..?”
Maneno yale yalizidi kuuchochea ubongo wa mchungaji James si kwa furaha bali ni kwa hasira kali nakujikuta akiunyanyua mkono wake wa kulia nakuanza kunishambulia kwa makofi. Alibadilika ghafla nakua mkali mithili ya simba tena simba dume. Macho yake yalikuwa mekundu sana huku mdomo wake ukitetemeka mithili ya mtu anayenyeshewa na mvua .
“..Mpumbavu mkubwa sana. Nimekuvumilia muda wote huo hadi nimekutekelezea ulichokitaka lakini bado huriziki kwanini binti wewe..? Haya kwa sasa nasimama kama mchungaji na vile vile mwanaume lijari. Haya sasa piga kelele zako ulizokuwa unataka kupiga..? Pigaaa..??, pigaa sasa nikuoneshe..??”
Ile hali aliyobadilika nayo mchungaji James ilinifanya Tina mie nianze kunyong’onyea nakuona hapa sasa kitakachofuata nikutoka na makovu ama maumivu mwili mzima. Maskini mchungaji James kumbe baada ya kuongea tu yale maneno ya ukali nikamshuhudia akianza kama kutetemeka mwili mzima huku yale macho yake akiendelea kuyakaza nakudondoka mpaka chini. Nilimuwahi pale pale chini nakumshika kifuani kwake ambapo mapigo ya moyo wake yalikuwa yamebadilika ghafla nakwenda mbio kama gari lililokatika breki. Hapo hapo halmashauri yangu ya kichwa ikanituma huenda ana ugonjwa wa moyo au kapata na mshtuko kutokana na kitendo hiki tulichokifanya ukizingatia na nyadhifa aliyokuwa nayo. Nilimtingisha mwili wote mara mbili mbili kuhakikisha lakini bado haikusaidia chochote zaidi ya yeye kufumba macho kabisa kama mtu aliyekata roho. Nilichukuwa kichwa changu huku sikio langu nikiambatanisha sambamba kifuani mwake japo kusikia tena mapigo yake ya moyo lakini haikusaidia kitu zaidi yakutosikia chochote. Woga ukanirudia Tina mimi na sikutaka hata kupoteza muda nilichokifanya nilitoka spidi mpaka chumba cha pembeni nadhani kilikuwa cha yule mfanyakazi wa ndani ama watoto zake mchungaji James. Nilichokifanya kwa haraka haraka nilichagua suruali ya kike nzuri na yakubana mapaja yangu kisha nikatafuta blauzi nzuri nakuzivaa. Kiukweli nilibadilika nakuwa sasa Tina mwingine kabisa kisha nikarudi chumbani kwa mchungaji James. Hali niliyokuwa nimemuacha nayo ndio niliendelea kumkuta nayo na kwa muda huu ni damu za puani ndizo zilikuwa zikimchuruzika nakuwa nyeusi badala ya nyekundu.
“..ulale pahala pema peponi mchungaji James..”
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimfumba macho yake kwa kutumia mikono yangu nakuanza kutafuta suruali zake nakutafuta hela za kuweza kujinasua kuondoka katika hili eneo pia huu mkasa. Ndani ya dakika ishirini tayari nilikuwa nimemaliza kusachi karibu chumba chote cha mchungaji James na tayari mifukoni nilikuwa niumezishindilia noti noti za shilingi elfu kumi zenye thamani kama ya shilingi laki mbili kisha nikachukuwa shuka nakumfunikia. Safari yangu yakutokea mlango wa jikoni ilianza huku nikiamini kwa asilimia mia endapo nitatokea mlango wa sebuleni ni lazima nitakutana uso kwa uso na mke wa mchungaji James ama yule mfanyakazi wake niliokuwa nimemtuma sabuni ya Dettol. Na hizi nguo zao nilizovaa ndio kabisa watanipigia mayowe.
Sikutaka hata kujua ni saa ngapi, kwani kijua tu kile cha asubuhi wazi kilinitambulisha haitakuwa imefika saa sita ama saba za mchana. Kwa muda huu tayari nilikuwa nimeshatoka katika himaya ya kwa mchungaji James nakutokomea nisipopajua. Wazo la kufika nyumbani ‘Nyamagana’ likawa limeishia hapo hapo kwani ndani ya kichwa changu niliamini endapo mchungaji James akiwa hajafa basi itakuwa rahisi kwa mimi kupatikana kwani nilishawahi kumwambia kuwa naishi nyamagana.
“..hapa nikurudi Dar es salaam tu..!! kwani hapa Mwanza japo ni jiji lakini nimeshaliharibu nani rahisi kushikwa kuliko Dar es salaam..”
Nilijisemea peke yangu kwa sauti ya chini chini huku nikikatiza mitaa ambayo kwa namna moja ama nyingine wala sikuwa naijua ni mitaa gani. Baadhi ya vijana walikuwa wakinitolea macho kana kwamba wamenifananisha lakini hilo waka sikulitilia mashaka kwani nilishajua nilichokifanya cha kuvaa nguo ambazo si za kwangu. Mwendo wa dakika tano nzima ulikuwa tayari umeshanipa jibu nakutambua bararabara kuu ipitayo magari.
“..hapa mpaka kituo cha mabasi nyegezi shilingi ngapi..?”
“.. elfu kumi tu..”
“..twende lakini nakulipa elfu nane..”
“..unaua dada.., elewa mafuta yamepanda bei..”
Nikiwa bado katika hali ya kuongea na dereva teksi na hata sikuwa nimepanda ile gari wala kupatana naye bei rasmi. Mara kwa ghafla akatokea mwanamama mnene mrefu kidogo. Alikuwa mweusi huku sura yake ikikunjamana vilivyo mithili ya mtu anapopigwa jua la utosi. Macho yake yalionesha kuwa tata kwani mbali na machozi yaliokuwa yakimtoka pia yalikuwa ni mekundu kama mtu aliyefiwa ama kumpoteza mume au mtoto wa kumzaa.
“..unakwenda wapi Malaya mkubwa wewe..?”
Aliuliza kwa sauti ya jazba. Sikuwa namtambua zaidi yakumtolea macho mimi pamoja na dereva teksi. Mwili wangu ulikuwa tayari umeshakata tamaa ya kuishi huku nikihisi kama kojo likiteleza ndani ya suruali yangu iliyokuwa imenibana…






*** unavyodhani huyo mama ni nani..? na nini hatma ya Tina..?


**** inamaana mchungaji James atakuwa kafariki..? itakuwaje sasa..?

Usithubutu kuikosa Play gal – 54 (Revenge) kwani utamu ndio kwanza unazidi kunoga..

******itaendelea>>>>

Labels:

Thursday, July 19, 2012

IZZO BIZNESS NA BELLE9 WAKUTANA FACE 2 FACE.



Rapper anayeiwakilisha vyema Mbeya City,Izzo Bizness amekutana Face 2 Face na Mwimbaji mkali mwenye sauti ya hatari Belle 9 katika Ngoma yake mpya.
Izzo amefunguka na kusema yupo katika harakati za mwisho za ngoma mpya aliyomshirikisha Belle 9 na itatoka mwezi wa 8.
Ngoma hiyo inaitwa UTARUDISHWA. Beat ya ngoma hiyo imetengenezwa na mwana hiphop mkali rapper ONE THE INCREADIBLE, na ameingiza vocal katika studio itwayo Dirty Mode Record chini ya Tris.

Labels:

HAIJAWAHI KUTOKEA HII YA HAIR STYLE...










Labels:

NUNA UKIGUNDUA CHEKA








Labels:

MWALIMU NOMAA..

Mwalimu ;" wewe john unacheka nini?"

John ; "mwalimu Umekaa vibaya nimeona mapaja yako "

Mwalimu ; "huna adabu wewe toka nje nisikuone mpaka kesho"

Mwalimu ; "na wewe Michael unacheka nini??"

Michael; "mwalimu nimeona kamba ya bikini yako"

Mwalimu ;"shenzi wewe toka nisikuone mpaka next week"

Mwalimu ; "na wewe Jose vipi??"

Jose ; "mwalimu nimeona tattoo yako"

Mwalimu ;"hii mitoto, toka nisikuone mpaka mwezi ujao"

Mwalimu ; "na wewe Eric unaenda wapi sasa???"

Eric; "nilichokiona mwalimu nadhani nimefukuzwa shule kabisa."

Labels:

THE TOUCH OF STYLE BY DESIGNER MGESE


Labels:

AJALI YA MELI: BADO NI VILIO NA MAJONZI KWA WANANDUGU WANAOENDELEA KUJITOKEZA KUTAMBUA MIILI YA MAREHEMU..



 Baadhi ya Maiti zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit iliozama zikiwa katika Eneo la Maisara kwa ajili ya kutambuliwa na Nduguzao.
 Maiti zikihifadhiwa katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar tayari kwa utambuzi wa ndugu na jamaaa.
 Wananchi mbalimbali wakizitambua Maiti zao zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya skagit iliozama  hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
  Jamaa wa mmoja wa marehemu wa ajali ya Boti akiwa na simazi ya kuondokewa na jamaa yake katika tukio la ajali hiyo, baada ya kuitambua maiti ya jamaa yake iliopelekwa katika viwanja vya maisara.
 Baadhi ya Wananchi waliozitambua maiti zao katika Viwanja vya Maisara wakisaidiwa na Askari kutokana na Huzuni kubwa waliokuwanazo.kwa kuzama kwa Meli ya  skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
 Baadhi ya wananchi wakiwa katika Foleni ili kwenda kuzitambua Maiti zao katika Viwanja vya Maisara kutokana na  kuzama kwa Meli ya  skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
 Baadhi ya Wanandugu wakiwa katika foleni kusubiri kutambua miili ya Ndugu zao waliopata ajali ya kuzama kwa boti ya Kampuni ya SeaGull.jana katika  bahari ya Zanzibar.
 Baadhi ya wananchi wakiwa katika Foleni ili kwenda kuzitambua Maiti zao katika Viwanja vya Maisara kutokana na  kuzama kwa Meli ya  skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
 Wananchi wakiwa katika viwanja vya mpira Mairasa kusubiri kutambua miili ya jamaa zao.
 Baadhi ya Wageni kutoka Nchi mbalimbali wakiwa katika Viwanja vya Maisara ili kujuwa Ndugu zao na kuangalia taratibu zinazofanyika viwanjani hapo kutokana na Kuzama kwa meli ya skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Baadhi ya Maiti zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit ilizama zikiteremshwa katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar ili kutambuliwa na Jamaa zao.

Labels:

SASA NI ZAMU YA JB NA MAJUTO NDANI YA MUVI MPYA YANAKWENDA KWA MWANANGU..

King majuto aliyekaa akiwa na Jb huyu aliyesimama..












Sikuzote wapenzi wa filamu za bongo walikuwa wanahamu sana kuona Jb akiigiza na Majuto kwenye movi moja. Kwa kulithibitisha hilo bila kuwaacha wapenzi na dukuduku. Wasanii maarufu na wanaoongoza katika soko la filamu hapa bongo Jacob Stephen ama JB na yule nguli namba moja wakuchekesha hapa bongo AMRI ATHUMANI ama king majuto hivi karibuni wameibuka na movi moja kali inayokwenda kwa jina la NAKWENDA KWA MWANANGU. akizungumzia juu ya muvi hiyo, Jb alisema kuwa ameamua kubadilika nakutengeneza seriously comedy. Mbali na muvi hiyo pia Jb na Majuto wanatarajia kuelekea Mwanza kwa ajili ya uzinduzi huo tarehe 30 ya mwezi huu wa 7.

Labels: ,

KUTOKA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO HII..



Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imetangaza siku tatu za maombolezo kuanzia Julai 19 hadi Julai 21 kufuatia maafa ya ajali ya Meli ya Mv. Skagit iliyozama karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Ali Mohammed Shein akitangaza maombolezo hayo, alisema bendera zote zitapepea nusu mlingoti na kwamba shughuli za sherehe na burudani zimefutwa kwa muda wa siku tatu za maombolezo.

Dk. Shein alisema shughuli za Serikali zitaendelea kama kawaida. Katika taarifa yake aliyoitoa Ikulu usiku wa kuamkia Julai 19, Rais Dk Shein amewahakikishia wananchi na hasa waliopoteza jamaa zao kuwa Serikali itabeba gharama zote za mazishi na pia kugharamia huduma za matibabu kwa majeruhi.

“Nimesikitishwa sana na msiba huu, Katika wakati huu si vema tukaanza kulaumiana jambo la muhimu hivi sasa ni kuokoa maisha ya watu” Alisema Rais Dk. Shein.

Mbali ya taarifa hiyo, Rais Dk Shein aliungana na wananchi, viongozi wa Serikali, vyama vya siasa, Viongozi wa dini katika kutambua maiti zilizofikishwa katika eneo maalum la viwanja vya Maisara Suleiman.

Mbali ya kwenda katika viwanja hivyo, pia alifika katika eneo la bandari ya Zanzibar kufuatilia taarifa za tukio hilo. Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana lilisitisha shughuli zake kufuatia maafa hayo ambapo wakati wa jioni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Nchimbi alitarajiwa kufanya majumuisho ya bajeti yake.


Baadhi ya Wabunge wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,Shamsi Vuai Nahodha, Mkuu wa Jeshi la Polisi walitembelea majeruhi katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja pamoja na eneo la viwanja vya Maisara ambapo maiti hufikishwa kwa ajili ya utambuzi.

Mbali ya Bunge, pia Baraza la Wawakilishi Zanzibar jana lilisitisha kwa muda shughuli zake ili kutoa nafasi kwa Wawakilishi hao wa wananchi kushiriki katika shughuli za uokozi ambapo wengi walifika bandarini kusaidia kazi mbalimbali ikiwemo kuwafariji waliopoteza ndugu zao.

Taarifa kutoka Mamlaka za Serikali zinaeleza kwamba hadi asubuhi hii maiti 30 zilipatikana ambapo 20 kati ya hizo zimetambuliwa na kuchukuwa na jamaa zao huku wananchi wengine wakiendelea na kuzitambua maiti zinazofikishwa katika eneo la Maisara.

Aidha, katika taarifa hiyo, watu 145 wameokolewa wakiwa hai, wengi wao wapo katika hali nzuri wameruhusiwa kuungana na familia zao baada ya kupatiwa matibabu katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar.

Meli ya Mv. Skagit ilizama Julai 18,2012 saa 7:50 mchana ikitokea Bandari ya Dar es Salaam kwenda Zanzibar ikiwa imebeba abiria 250 watu wazima, watoto 31 na mabaharia 6.

Kazi ya utafutaji na uokoaji zinaendelea toka asubuhi mpaka mchana huu katika eneo la tukio ilikozama meli hiyo umbali wa maili sita Kusini mwa Kisiwa cha Yasin karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.

Labels:

NUNA UKIGUNDUA CHEKA..











Labels: ,

**** Play gal - 52 (revenge)



Ilipoishia...


Nilijikuta uzalendo unanishinda Tina mie nakutokwa na udenda  uliochanganyikwa na hamu ya kutaka kufanya mapenzi na mchungaji.  Nilikuwa bado nimezubaa pale sebuleni huku pembeni yangu akiwa mfanyakazi wa ndani akiangalia televisheni. Nikajisachi mifukoni mwangu nakutoa noti shilingi elfu moja kisha nikampa Yule mfanyakazi wa ndani.
“..nenda duka la madawa lolote kaninunulie sabuni ya detto, nashindwaga kutumia sabuni nyingine, sawa..?”
Yule binti wa watu aliinuka nakuondoka kwenda dukani haraka haraka.
“..wafanyakazi kama hawa ndio dawa yao..”
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikihakikisha Yule mtoto wa James aliyetupokea yupo nje. Nikauloki ule mlango wa sebuleni nakisha nikazivua nguo zangu nakubakiwa mtupu kama nilivyozaliwa, nikazishikilia mkononi nakuongoza mpaka chumbani kwa mchungaji james huku nikijitingisha makalio yangu…

Sasa endelea…


Nilipokaribia tu mlango wa mchungaji James kwa ghafla mapigo yangu ya moyo yakabadilika mwendo na kwa muda huu yakawa yanaenda mbio zaidi kama saa yam shale. Hatua chache nikawa tayari natazamana na mlango wa chumbani kwake huku mikono yangu ikinitetemeka mithili ya mtu aliyemwagiwa maji ya barafu. Nilipiga moyo konde huku  nikishikilia kitasa tayari kwa kufungua mlango. Sikutaka kuonesha uoga wowote Tina mie kwani mambo kama haya tayari nilikuwa nimeshayazoea tangu zamani. Nilichokifanya nikaufungua ule mlango nakuingia chumbani kwake kisha nguo zangu nikazitupa kitandani mwake nakuanza kugonga sasa  mlango wa kuingia bafuni kwa mchungaji James huku nikijidai kama naugonga..
“..my wife..?, unasemaje naoga..?”
“.. nifungulie mara moja mume wangu na mimi nataka kuoga..”
Maskini mchungaji  James alijua kuwa anaongea na mkewe kumbe nilikuwa Tina mie. Alifungua mlango hivyo hivyo akiwa na mapovu ya sabuni usoni huku macho yake akiyafumba. Nikatumia mwanya huo huo na mimi kuongoza mpaka bafuni kisha..
“..haya tuendelee kuoga tu mume wangu..”
Bado mchungaji  James hakuwa anaelewa chochote kwani mapovu ya sabuni yaliokuwa yamemzunguka mwili wote sana sana eneo la usoni mwake yalimzuia kutoa macho kuangalia nakujikuta akiniruhusu kuingia bafuni huku akidhania kuwa ni mke wake.
“..acha tu nikusugue vizuri.., enhe niambie za safari mume wangu..!!”
Nilijikaza sauti nakuongea kama mtu mwenye mafua kana kwamba isingekuwa rahisi kwa mchungaji James kutambua ni sauti yangu. Nilimgeuza mgongo huku nikimuogesha na kabla sijamgeuza aniangalie nilimpaka tena sabuni usoni mwake ili niweze kumzuia asione kabisa kwa muda ule.
“..yaani mke wangu, tulipata ajali mbaya sana na kwa bahati nzuri na kumshukuru Mungu nimenusulika nipo salama, na nimekuja na binti yuko hapo sebuleni naye amenusulika kwenye hiyo hiyo ajali ambapo watu wengi wamepoteza maisha..”
“..mmh pole sana mume wangu, ndio maana nimeona nguo zako zikiwa na damu damu, polee..!!!”
“..ahsante sana mke wangu..”
Bado nilimfanya mchungaji James asiweze kujua chochote kama anayeongea naye ni mimi mwenyewe Tina. Nilichukuwa mikono yangu na kumtelezesha kuanzia mabegani mwake, shingoni mpaka kiunoni huku nikichukuwa sabuni nakupaka eneo la nanii yake kisha nikaanza kuishika shika kwa kuitekenya..
“..inatosha mke wangu haya nimwagie maji nitoe sabuni hii..”
“..tulia kwanza jamani..”
“..hapana sabuni inaniwasha machoni, embu nimwagie maji mke wangu..”
Nilimshika vya kutosha mpaka nikahakikisha amesimamisha nanii yake ndipo nikamwagia maji tena kwa taaratibu kuanzia mgongoni kisha tumboni na nikammalizia kumwagia usoni na kichwani. Alipofungua macho tu akakutana na sura nyingine kabisa na wala hakuwa mke wake kama alivyoukuwa akifikiria bali nilikuwa ni Tina mimi nilioshindikana.
“..we.. wee.. wee ss.. ssiii.. niiili.. ku.. aa..a..  cha.. sebuuuu…  leni..? Hapa umefuata nini..?”
“…James..? nimeshindwa kuoga peke yangu..!”
“..ndio uje chumbani kwangu..? Mke wangu yupo wapi..? Mbona unataka kunivunjia heshima binti..? Hiyo ndio shukrani yako ya kukuleta hapa enh..!!”
Mchungaji James alinibadilikia nakuwa mkali kama kifaru tena faru dume mwenye hasira ya kuchezewa  watoto wake na mnyama mwingine.
“..nakupa dakika mbili uwe umeshavaa nguo zako nakupotea hapa chumbani kwangu ibilisi mkubwa wee uliyetumwa na shetani.., ushindwe..!!  nasema ushindwe kwa jina la...”
Kabla hajamalizia kuongea nikamziba mdomo wake. Kwa ushujaa niliokuwa nao nikamshika nanii yake nakuanza kumtolea maneno ya hasira.
“..James elewa mimi ni mwanamke kama wanawake wengine, nina hisia na nina haki yakutekelezewa kama mwanamke. Najua kuwa wewe ni mchungaji nakuomba unisaidie japo unilale hata kwa bao moja tu nitalizika..”
“niiiiiiiniiii??? ..binti..??, umefika mbali.., mbali tena mbali haswa. Una pepo mkubwa wa  ngono na unahitaji kuombewa zaidi. Nakuomba tena kwa mara ya pili uende ukavae nguo zako na uelekee sebuleni hapo nitakuja kufanya maombi  mazito na wewe. Kwanza hata mke wangu akikukuta umekaa sebuleni  atafurahi, embu nakuomaba uende binti pliiz..!!”
Maneno yake hayakuniingia akilini hata kidogo. Niliona kama anampigia mbuzi  gitaa acheze na tena mziki wenyewe ni ule wa mchiriku. Nikaanza kumfanyia visa. Nilichokifanya nilipumua juu juu nakujifanya nina mapepo kweli kisha nikajiangusha mpaka chini vile vile nikiwa uchi wa mnyama nauanza kutapatapa mithili ya wale wacheza shoo wa kikundi cha THT huku nikitoa mate yenye mapovu mithili ya mgonjwa  wa kifafa. Nilitumia kama dakika tatu nzima lakini ni kama mchungaji James alikuwa na bumbuwazi kwani nilijua tu kwa asilimia mia hawezi kuniombea huku akiwa uchi. Alichokifanya alikuwa mpole kisha akainama nakunishika shingo.
“..binti, amka na pole kwa matatizo..”
Maneno yale yalinifanya nione sasa atakuwa ameelewa dhamira yangu yakujiangusha nakujigaragaza pale chini kama motto mchanga. Nilinyamaza kimya nakuinuka kisha nikamkaripia.
“..nataka jibu moja tu..!  unakubali kufanya mapenzi na mimi au la..!”
Mchungaji James bado alibaki na kigugumizi kama dakika mioja nzima kisha akanijibu.
“..hapana tayari nina mke wangu na licha ya hivyo, maandiko hayaruhusu. Kwani kufanya hivyo nikukiuka maandiko ya neno na kumkosea  mungu..”
“..sasa nakupa dakika moja tu..!!  na usipokubali napiga makelele kwa nguvu zote  kuwa unanibaka mpaka nihakikishe umati wa watu umefurika hapa bafuni, sawa..???..”
“..no.. nooono.. nooo… usifanye hivyo binti..!!”
“..haya unakubali ama..? nianze kuhesabu..?”
Kimoyo moyo nilijipa shangwe kwani niliamini sasa nitakuwa nimemuweza mchungaji James na hatakuwa na ujanja kama nitapiga kweli yowe. Mwili wake wote ulionesha kutetemeka kwa uoga, huku nikishuhudia nanii yake ikilala. Nikatumia mwanya huo huo kumtetemesha zaidi..
“..nakuona hujibu uko kimya.., sasa naanza kuhesabu 1.., 2.., 3..?”
Mchungaji James alinyong’onyea ghafla huku akionesha sura ya upole na huzuni. Sikutaka kumuonea huruma hata kidogo kwani kifua chake kilichojaa manywele ndicho kilichonivutia nakuingia humu chumbani mwake. Nilichokifanya nikamsogelea karibu kisha nikamkumbatia halafu nikajilaza chini nakumuamuru aanze kufanya mapenzi na mimi..
“..haya ingiza humu ndani kwangu James..??,  ingiza basi..? hutaki..?”








*** unavyodhani mchungaji James atafanya mapenzi na Tina..?


*** Play gal ndio kwanza inazidi kunoga na jiandaye kusoma PLAY GAL - 53 (Revenge) ni nzuri zaidi ya hapa..



************** itaendelea******************

Labels:

ALLY REHMTULLAH'S COLLECTION AT KENYA FASHION FESTIVAL 2012









Labels: ,